Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Pamoja sana shem!
Happy birthday mkaka shem Arushaone
Mungu akupe afya njema na upendo na amani pia
my cousin Lady doctor si umemuona Mtambuzi
alivyomchokozi
Hahahaa uhuru hostel kila mtu anaingiua na cheti.cha ndoa mkononi! Na hakuna biya
Mi nitakuwa kiwanja kipya Inshaalah pale milestone.
Happy birthday m baba Arushaone
Wewe ni MSWATI wa kidigitali aisee LOL.
Umejuaje kamanda?? Biya hazihusu kwani sisi tumeokoka aisee.
tuongee tu basidei boi..
no shida
Mwambie kabisa nitakuwa nasikiliza.....hakawii kukwambia maneno machafu hata kama amezaliwa leo
Thanks sana! Lulu naye ni mzima wa afya tele.
teh! Umeniweza leo .......Ahsante sana mpe... Ah sore mpendwa.