nimemuona cousin wangu, adhabu niliyomuandalia hatokaa akaisahau kamwe!!!!!!!!
Happy birthday Arushaone. Naomba niwe mpango wako wa kando.
atii????? Hebu rudia tena??????
My cousin ladyfurahia.. Pacha wangu Passion Lady dada mkubwa Ablessed na my wii Heaven on earth pamoja na my nurse shansarie hebu kujeni mumsome bibie hapa, anataka nini kwa prezidaa Arushaone!!!!!
we micheletz ishia hukohuko Arushaone haitaji kidum wala kiguduria
Lady doctor my wii kipenzi huyo mtu akiendelea nadhani anajua wzungu
kule zanziber walifanywa nini!!!!!!!!
Aaaah hapana haiwezekani kabisaaaaa. Hata hivyo namuaminia Arushaone hawezi kukuangusha kabisa hivyo huna haja yankua na mashaka. Happy birthday Arushaone Mungu akubariki na kukuongezea siku za kuishiatii????? Hebu rudia tena??????
My cousin ladyfurahia.. Pacha wangu Passion Lady dada mkubwa Ablessed na my wii Heaven on earth pamoja na my nurse shansarie hebu kujeni mumsome bibie hapa, anataka nini kwa prezidaa Arushaone!!!!!
Mie ndio namtaka kwani inawahusu nini? Nampenda na kama ana mke niwe wa pembeni. Acheni wivu kina lady doctor na wenzako.
Hahahahahahaha duh best naona ueamua kumtetea wii wako hii nzuri sana , ingawa mara nyingi ma wii hua hawapatani sana sasa sijui kuna ukweli ktk hili.we micheletz ishia hukohuko Arushaone haitaji kidum wala kiguduria
Lady doctor my wii kipenzi huyo mtu akiendelea nadhani anajua wzungu
kule zanziber walifanywa nini!!!!!!!!
nimekuwezaje?!?!? mie nakuombea tu uje ufanye hiviii...........
micheletz unachokitafuta utakipata, shemeji yangu haitaji visadolini doctor anamtoshaatii????? Hebu rudia tena??????