Una haki ya kumshukuru mgunduzi wa zana……HAPPY BIRTHDAY Arushaone…..!!!!!!

hahaaa....! Huyu micheletz naona anachezea uhai wake, akae kando kabisaa... Asidanganyike namaneno ya Mtambuzi tutamzamisha kama jua, ye muache ajifarague hapa

....Tena mwambie akome kunitumia mapiem yake, simtaki.
 
Hahahahahahaha duh best naona ueamua kumtetea wii wako hii nzuri sana , ingawa mara nyingi ma wii hua hawapatani sana sasa sijui kuna ukweli ktk hili.

yaani huyu wii wangu lady doctor sijui kanipa nini haki ya mama,nampenda saaana

naomba ummentioa aje aone sikioni kidude cha at huku
 
..Usisahau kumwambia pia kuwa MCHOCHEO wangu sio wa kuchochea kila mahali.

hahahaaa....... Amekusikia baba, amekusikia huyo,,, sijui kama atarudi tena huku...... Loooh!!!!!!!! Limemshuka shuu kama supu la bamia!!!!!!! Ndio akome kutongoza waume za watu!!!!!!!!!
Akatafute ma toboa tobo kama Bishanga wako standby kuchomeka tu!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
yaani huyu wii wangu lady doctor sijui kanipa nini haki ya mama,nampenda saaana

naomba ummentioa aje aone sikioni kidude cha at huku
Aisee inapendeza sana ndugu wakipatana na kupendana nami nawapenda mnooooooooooo mbarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…