JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Jiwe Linaloishi ni member wa Arusha Wing, kaja lini huko? Mwambie arudi fasta kabla hasira zangu hazijapanda.
afu shem ile keki yangu
mliyonipa c nilipanda boda boda
vibaka wakanipora,naomba nije mnipe nyingine
KOKUTONA hulali.......!
hahahaaaa!!swahiba nimekumiss ujuemmhh!! na hilo umbe kwenye boda boda unaenea kweli? acha utani
Lady Doctor Nakuahidi Arushaone Simuachii Mpaka Kieleweke. Huwezi Kumfaudu Mwenyewe.
Lady Doctor Nakuahidi Arushaone Simuachii Mpaka Kieleweke. Huwezi Kumfaudu Mwenyewe.
hahahaaaa!!swahiba nimekumiss ujue
lini unakuja mtaani japo nikutie kwa macho
halafu nimekip figa cku hizi!!
wanga mmekutana......... site
huo ndio unaoitwa umalaya na watu wa kenya wanaita CHIPS FUNGA. Acha kujitongozesha kwa mtu mwenye mke njoo kwangu nikufundishe usanii pia.
Ha ha hah haaaaaaaa. Afu ndege zetu za asili zikagongana. Chezea vigagula wa mjini.
ntakujaza... usihofu natamani nikuone na hiyo figa mpya ulikip..
nije na koti au?
koti jibebee tu
maana huku kwetu makoti ya shida kweli
hahahhhaha ule wenu mnaoutumia usiku vibaya... badala ya kupumzika mnapiga ramli tu na na kuonyeshana ufundi huko angani......
nasikia hili bango ni la kwenu mnajitangaza sasa
View attachment 109434
CC:- Mtambuzi
Ha ha ha haaaa imebidi nicheke. Mtambuzi time up twende tukapae angani. Mida hiii
mmhh hata makoti watu??
makoti watu yanapatikana
mrina ila si salama kwa afya yako hahaaaa!!