Decruise Member Joined Oct 31, 2024 Posts 9 Reaction score 14 Dec 8, 2024 #1 Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako. Attachments IMG_20241010_154101_430.jpg 361.1 KB · Views: 4
Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
Oppo A17k JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 904 Reaction score 2,708 Dec 8, 2024 #2 Kikubwa uzima tuu mkuu hata kama yasipo fika uhuru day
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,158 Reaction score 7,787 Dec 8, 2024 #3 tusiokuwa na mahusiano tunakaa upande gani? Au hii mada haituhusu kabisa...