Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

Decruise

Member
Joined
Oct 31, 2024
Posts
9
Reaction score
14
Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
 

Attachments

  • IMG_20241010_154101_430.jpg
    IMG_20241010_154101_430.jpg
    361.1 KB · Views: 4
tusiokuwa na mahusiano tunakaa upande gani? Au hii mada haituhusu kabisa...
 
Back
Top Bottom