Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huyo hawezi kugonga aisee, kuwa na amani, yuko speed 20 tu hapo... Hata hivyo kwa style aliyoweka kiti chake, na alivyoshika usukani, bado inaonyesha hana control kiviile.Dunia ina mambo, hebu fikiri hatari za barabarani halafu binaadamu anafanya mizaha ya aina hii!
Hivi kampuni ya gesi mtwara imeajiri watanzania wangapi?
Hapo tatizo umeliona, hana control na ujue barabarani tatizo hutokea in a split of second suala la kujihami na kuepusha matatizo kwa watumiaji wengine wa barabara linakuwa gumu sana.Huyo hawezi kugonga aisee, kuwa na amani, yuko speed 20 tu hapo... Hata hivyo kwa style aliyoweka kiti chake, na alivyoshika usukani, bado inaonyesha hana control kiviile.
Huyo hawezi kugonga aisee, kuwa na amani, yuko speed 20 tu hapo... Hata hivyo kwa style aliyoweka kiti chake, na alivyoshika usukani, bado inaonyesha hana control kiviile.
Sio Malaika?Huyo si Maua Sama?
Naam ni Malaika,nawachanganyaga hawa watoto. Ni Malaika kabisa huyo.Sio Malaika?
Uyu mtoto ni mzuri sana.Naam ni Malaika,nawachanganyaga hawa watoto. Ni Malaika kabisa huyo.
Naam Mkuu,huyo wa kwenye video ni Malaika. Nilijikoroga.Maua Sama huyu hapa:
Mzuri Sana,nasikiaga alifanyaga plastic surgery kaka. Kwa tetesi za mtaaniUyu mtoto ni mzuri sana.
Hizo sijazisikia. Kuna kipindi nilimfatilia nikasikia kuna jamaa alimpangishia nyumba hapo mbezi beach lakini baada ya miezi miwili alimtimua kisa binti ajatulia. Natafuta namba yake na mimi nipime oil.Mzuri Sana,nasikiaga alifanyaga plastic surgery kaka. Kwa tetesi za mtaani