Una hamu ya kumjua Dinazarde? Huyu hapa.

Una hamu ya kumjua Dinazarde? Huyu hapa.

Yule mtoto shoo rangi ya jogoo aka Dinazarde au ukipenda muite Mkaanga Samaki au beki tatu ndo huyu hapa.

Na wigi lake sijui la zambarau hilo na jeans yake ya mchaniko....akinenguka nenguka kwenye gari ambayo nadhani itakuwa ni ya bwana wake [sasa sijui bwana yupi....mtapeana wenyewe ubuyu huko kwenye maPM yenu].



Hapo ilikuwa kabla mashujaa hawajamtundika hii makitu


drc_civil_war_congo.JPG
 
Hizo sijazisikia. Kuna kipindi nilimfatilia nikasikia kuna jamaa alimpangishia nyumba hapo mbezi beach lakini baada ya miezi miwili alimtimua kisa binti ajatulia. Natafuta namba yake na mimi nipime oil.
Mkuu kuna ambazo ninazo. Vipi nikusababishie?
 
Huyo na huyu wanafanana?

Halafu hicho kikaptula niaje hapo....na hizo cellulite kwenye mapaja veepee?


USA bby huyo ni makaika,labda wajanja wamekuingiza mjini kujuambia kuwa huyo ni Dinazarde lakini ukweli siyo yeye. Ebdelea kumtafuta mtoto.
 
Hapo mwenyewe sijui alikuwa anatokea Mabatini akielekea Buzuruga Plaza pale gym...
Wewe hujafika Rock City siku nyingi siku hizi wana mall yao Rock city mall maeneo ya kirumba karibu na kona ya Bwiru.

Utavikuta vishamba vya kisukuma humo haviganduki kwenye lift ni nenda rudi tu kama harawa.
 
Hiyo video ni ya Dar, nimeiona Coster ya Mwenge Posta.

By the way hii Avatar ni nani huyo huko USA baby?

Tulioanza kuzeeka tutapishana humu bila kujuwana kwa hizi changes za Avatar tu.

Huyo ni mi mwenyewe Ba. Kisura....
 
Wewe hujafika Rock City siku nyingi siku hizi wana mall yao Rock city mall maeneo ya kirumba karibu na kona ya Bwiru.

Utavikuta vishamba vya kisukuma humo haviganduki kwenye lift ni nenda rudi tu kama harawa.

Unajua we jamaa huwa unakurupukaga sana wakati mwingine. Sijafika Mwanza siku nyingi kivipi wakati jana tu ndo nimeondoka huko?

20160513_100301.jpg


Hapo unapajua wewe?

20160513_094201.jpg


Hapa je?

20160513_090730.jpg
 
Back
Top Bottom