Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Chini ya kapeti ni yepi hayo?Hata Mimi huwa natania tu kaka najua maisha ya JF ni utani mwingi japo kuna ambao chini ya kapeti wapo kikazi zaidi .
Ila kwa hili sidhani kama lina uhalisia just kuchangamsha baraza[emoji119] [emoji119] [emoji2]