Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #21
Naam Mkuu,huyo wa kwenye video ni Malaika. Nilijikoroga.
Yule mtoto shoo rangi ya jogoo aka Dinazarde au ukipenda muite Mkaanga Samaki au beki tatu ndo huyu hapa.
Na wigi lake sijui la zambarau hilo na jeans yake ya mchaniko....akinenguka nenguka kwenye gari ambayo nadhani itakuwa ni ya bwana wake [sasa sijui bwana yupi....mtapeana wenyewe ubuyu huko kwenye maPM yenu].
Labda Malaika..Maua sama sioHuyo si Maua Sama?
Hapo ilikuwa kabla mashujaa hawajamtundika hii makitu
Mkuu kuna ambazo ninazo. Vipi nikusababishie?Hizo sijazisikia. Kuna kipindi nilimfatilia nikasikia kuna jamaa alimpangishia nyumba hapo mbezi beach lakini baada ya miezi miwili alimtimua kisa binti ajatulia. Natafuta namba yake na mimi nipime oil.
Buzuruga ndio wapi aisee.?!Hapo mwenyewe sijui alikuwa anatokea Mabatini akielekea Buzuruga Plaza pale gym...
N Malaika mkuu,nilijichanganya.Labda Malaika..Maua sama sio
Hao ni wakina nani.?!Uyu mtoto ni mzuri sana.
Comrade nshafanya booking ya hawa wachuchu kwenye ile party yetuHapo mwenyewe sijui alikuwa anatokea Mabatini akielekea Buzuruga Plaza pale gym...
utakufa kwa kilo 7 kula kwa macho tuUyu mtoto ni mzuri sana.
Comrade nshafanya booking ya hawa wachuchu kwenye ile party yetu
Chagua mwenyewe hapo kati ya Heaven on Earth na Heaven Sent
Hiyo video ni ya Dar, nimeiona Coster ya Mwenge Posta.Hapo mwenyewe sijui alikuwa anatokea Mabatini akielekea Buzuruga Plaza pale gym...
Wewe hujafika Rock City siku nyingi siku hizi wana mall yao Rock city mall maeneo ya kirumba karibu na kona ya Bwiru.Hapo mwenyewe sijui alikuwa anatokea Mabatini akielekea Buzuruga Plaza pale gym...
I guess ths is mwanza.!?
Hiyo video ni ya Dar, nimeiona Coster ya Mwenge Posta.
By the way hii Avatar ni nani huyo huko USA baby?
Tulioanza kuzeeka tutapishana humu bila kujuwana kwa hizi changes za Avatar tu.
Wewe hujafika Rock City siku nyingi siku hizi wana mall yao Rock city mall maeneo ya kirumba karibu na kona ya Bwiru.
Utavikuta vishamba vya kisukuma humo haviganduki kwenye lift ni nenda rudi tu kama harawa.