Chini ya kapeti ni yepi hayo?Hata Mimi huwa natania tu kaka najua maisha ya JF ni utani mwingi japo kuna ambao chini ya kapeti wapo kikazi zaidi .
Ila kwa hili sidhani kama lina uhalisia just kuchangamsha baraza[emoji119] [emoji119] [emoji2]
Wasiojua NVTC ni madogo hao ,wao wanafahamu VETA tu,nakumbuka Mkuu wa pale Changombe wa enzi hizo alikuwa anaitwa Morgan Manyanga long time kitambo.Naunga mkono hoja...
Comrade Nyani Ngabu kama itakupendeza weka hii picha niliyokupiga wakati ukisomea ufundi umeme pale NVTC Chang'ombe. (Najua hii NVTC kuna madogo watakuwa hawajawahi kuisikia).
Ehhehe uzuri we babu upo ntahamia kwakoNdo ujue ushaibiwa hivo....
Ewaaaaaa.... una akili kama Hillary ClintonEhhehe uzuri we babu upo ntahamia kwako
Si unajuaga navyokuzimiaga [emoji8][emoji8]sema najikaushaga tuEwaaaaaa.... una akili kama Hillary Clinton
Usijikaushe sana bhana... utanifanya niwe sugu ujue....Si unajuaga navyokuzimiaga [emoji8][emoji8]sema najikaushaga tu
Usiwe sugu bana ,si tutaenda kukiamsha kule kwenye party tupombeke mpaka tuzimie kwa rahaUsijikaushe sana bhana... utanifanya niwe sugu ujue....
Si unajuaga navyokuzimiaga [emoji8][emoji8]sema najikaushaga tu
Hahahahah nimefunguka,halaf tabia ya kumtafutia totozzz kwenye party si utakuja twende tukapombeke na Heineken [emoji23][emoji23][emoji23]Hehehee heri leo umefunguka...
Kisa cha kujitesa hivyo nini?
You can say that again, babe.Usiwe sugu bana ,si tutaenda kukiamsha kule kwenye party tupombeke mpaka tuzimie kwa raha
Nataka tuzimie kwa rahaa mpaka wavimba macho wapasukeYou can say that again, babe.
Yani mpaka nikuambukize mimba wallahNataka tuzimie kwa rahaa mpaka wavimba macho wapasuke
Hahahahah nimefunguka,halaf tabia ya kumtafutia totozzz kwenye party si utakuja twende tukapombeke na Heineken [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mpaka nikuambukize mimba wallah
AhhahaahahYani mpaka nikuambukize mimba wallah
Comrade nshafanya booking ya hawa wachuchu kwenye ile party yetu
Chagua mwenyewe hapo kati ya Heaven on Earth na Heaven Sent
Unataka nimletee totoz zaidi? We humtoshi?
Hakika wewe na mimi tutakuwa sote kwenye ufalme wa mbinguni.....Comrade huyu mchuchu anataka eti nikuletee totoz zaidi...naona kajipima akajiona hatakutosha peke yake.
Hebu ngoja niwacheki Devota, Libina, na Malkia wa Nyuki kwenye whatsapp...
Btw, huyu Malkia wa Nyuki ni moto wa kuotea mbali na kwa nguvu ya kizuri kula na nduguyo basi sina budi kumleta kwako comrade.
babu hiyo picha yangu umeitoa wapi... sikuwezi weweComrade nshafanya booking ya hawa wachuchu kwenye ile party yetu
Chagua mwenyewe hapo kati ya Heaven on Earth na Heaven Sent
Bado nakumbuka ulivokuwa unainywa hiyo sprite. Hasa pale ulipokuja kuninywesha nikalionja denda lako.babu hiyo picha yangu umeitoa wapi... sikuwezi wewe