Inaonekana wewe ni maskini sana tena wa kutupwa.
Yaani hapo ulipo unanuka umaskini na hiyo hela uliyojumlisha hapo haujawahi kuishika wala hutokaa uishike maishani mwako kwa sababu una mitazamo na akili za masikini.
Hapo unampigia mwenzako anaingiza kiasi gani na kuhitimisha kwamba ameshatoka pasipo hata kujiuliza wala kudadisi operating costs za hiyo project yake ni kiasi gani na anabakiwa gani na hao unao waona wewe ni wajinga wananufaika kiasi gani. Una akili mbuzi sana.
Halafu mnashangaa Ontario kutoza hiyo hela kidogo mnaiona nyingi, kweli nchi yetu imejaza masikini sana.
Hebu angalia hapa huyu trainer anavyo charge
Huyo jamaa anafundisha forex kwa 6,000R ambayo ni sawa na Tsh.985,300 kwa kila kichwa. Na hapo anatoa training ya siku tatu tu. Na kila wiki huwa anafundisha watu 20.
Sasa Leo hii Ontario amewafanyia favor kabisa kwa bei chee mnaanza kumuangalia kwa jicho la husuda na chuki, vipi kama angeamua kutoa training kwa fee ya $300 si ndio mngempelekea takukuru mpaka nyumbani kwake?
Acha wivu pambana na umasikini wako.