Una Idea ila kuiweka sokoni inakuwa vigumu? Tengeneza wajinga wengi sana akilini mwako na utatoboa

Una Idea ila kuiweka sokoni inakuwa vigumu? Tengeneza wajinga wengi sana akilini mwako na utatoboa

Forex is a real business, nilioisoma kwenye international finance 3rd year Mzumbe. Tatizo letu wa bongo ni kuwa tuko miaka 50 behind technology. Kutokua na ujuzi na maarifa sahahihi kunatuponza sana. Anyway, nakubaliana na Mr Chasha tatizo letu wabongo ni kukosa consistency. Do what you love and let the money follow you, usiifuate pesa.
Hakuna asiyeijua hii forex trading....
Kinachozunfunziwa ni format ya kijana ontario ni ya kukamata wajinga na kuwala.

Na ndio maaana anatumika km reference kwa hii thread
 
Mkuu Forex mbona inalipa if you take it seriously sema kama mgeni na hayo mambo na unataka faida tuu shida inaanzia hapo na wabongo wengi nimeona wao wanaangalia upande wa faida tu hawajui sometimes kuna kukosa pia Mfano mzuri tu ni mimi mwenyewe kipindi cha nyuma nilikuwa nafanya Binary Option hii haijatofautiana sana na Forex kilichonitokea mimi ni kwamba nilivoanza nilipoteza hela kidogo nikaangalia nimekosea wapi nikaweka hela tena kiukweli mambo yalikuwa mazuri tu mpaka kufikia mwaka jana mwezi wa sita kama sikosei kuna ka hela nikakapoteza kidogo lakini hapo nilikuwa nisharudisha hela yangu na faida juu na kitu nimegundua ni kwamba ningechukulia serious hadi leo basi ningekuwa mbali mimi nikistop kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.

Kwa hawa wa Forex wapo watakao fika mbali na pia wapo ambao watakuwa wasindikizaji wataamua kuishia njiani.

Watu wana jaribu kufananisha Forex na Sports Betting wakati they are very different. Kwahyo time will tell.
Binary option inazingua kutoa pesa......yaani huwa hawatumi haya tuambiwe we mwenzetu hizo pesa ulizipataje?!
 
International financial mgt hii tumeisoma kama one of the largest business in the world na haina barriers to entry....anyone can enter at any time akitaka.hata hivyo mnaposema mtu anacheza na akili za watu kwani hamkusoma kwenye marketing if there is no demand and you want to sell then create the demand.thats exactly what kaka Ontario did.babu wa loloiondo did the same.me nadhani kama umeshindwa kuchekecha akili yako waache waliona opportunities na kuchekecha akili zao wale vinono.survival for the fittest kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.Kaka ontario Go Go Gooooooo asikutingishe mtu.
 
Una akili fupi kama mkia wa mbuzi haya mkia wa.mbuzi ni mrefu.

Post yangu na zingine za nyima zina fanana sana sijatoa kwa ajili ya mtu. Sawa?
 
Una akili fupi kama mkia wa mbuzi haya mkia wa.mbuzi ni mrefu.

Post yangu na zingine za nyima zina fanana sana sijatoa kwa ajili ya mtu. Sawa?
Asante kwa matusi yako ndugu.nashukuru msg imekuwa delivered mubasharaaaaaa kabisa.tena mahali nanapohusika kabisaaa.

Zingatia:hata mimi comment yangu haijatolewa kwa ajili yako.
 
Asante kwa matusi yako ndugu.nashukuru msg imekuwa delivered mubasharaaaaaa kabisa.tena mahali nanapohusika kabisaaa.

Zingatia:hata mimi comment yangu haijatolewa kwa ajili yako.
Usha wahi kufuatilia post zangu za nyuma?

Naona unaleta mipasho ya pwani na kama nilivyo sema hapo juu huo ndo ukweli kuhusu wewe.

Halafu swala la kutengeneza wajinga hilo ni world wide, hata wakina I phone wanafanya hivyo.

Na ni strategy za wajasiriamali Dunia nzima na si kosa.

Acha kuwa na mawazo mafupi
 
Hapo kuna vitu viwili
1. Ujasiria mali
2. Ujasiri wa mali
 
Usha wahi kufuatilia post zangu za nyuma?

Naona unaleta mipasho ya pwani na kama nilivyo sema hapo juu huo ndo ukweli kuhusu wewe.

Halafu swala la kutengeneza wajinga hilo ni world wide, hata wakina I phone wanafanya hivyo.

Na ni strategy za wajasiriamali Dunia nzima na si kosa.

Acha kuwa na mawazo mafupi
Tatizo lako you are taking it too personal waliocomment kwenye hii post mbona wengi tuuu why ujihisi wewe ndio unapashwa na mipasho ya pwani?wapi nimekupinga?nafurahi kuona bado unasupport comment yangu huku unanitusi." If there is no demand,then create one upate pesa".....post za nyuma sio lazima nishugulike nazo....kwa hiyo unanilazimisha nizipitie??kama hazina mashiko siwezi shugulika nazo ndugu.hiii nimeona inamashiko kidogo akili yako ya kijinga jinga imeshabihiana na yangu kama mkia wa mbuzi.basi wacha tusail kwenye hiii boat moja.otherwise tumia ujinga wako upate pesa ukiwa busy kusaka mahela utaacha kujibishana mitandaoni kwa hoja zako zisizo na tija.
 
Askofu Gwajima katengeneza mazuzu wengi sana siyo wajinga tena,
Ni kama ccm ilivyotengeneza, na inavyoendelea kutengeneza majinga yake . . , coco . . , Barbarossa, huku akina DAB wakiendelea kupiga pesa . . [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom