Una Idea ila kuiweka sokoni inakuwa vigumu? Tengeneza wajinga wengi sana akilini mwako na utatoboa

Mbona matusi mingi mingi Mkuu! Kwani kutolea mfano ili watu waelewe ni dhambi!?!?
 
Ila watu wana wivu hii thread imegeuka ya kujadili ONTARIO na forex kazi kwelikweli
 
mimi nimependa akili ya dogo wa forex yule....
Sisi wajinga wengine tulianza kufanyia kazi taarifa ya "dogo wa forex" kama ulivyoomuita tangu may 26 kwa kusoma vitabu alivyopendekeza ambavyo kwa bahati mbaya hakukuwa na duka lolote la vitabu nchini lenye hivyo vitabu.

Mimi binafsi (mjinga Mimi) niliamua kuprint kitabu na nikawa nasoma huku nikimuomba Mungu aniwezeshe nielewe.

Karibu miezi minne na wiki kadhaa sasa matunda nimeanza kuona.
"If you can't fight them join them"
[HASHTAG]#readmorethanyoutrade[/HASHTAG]
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana.
 
Sasa utofaitishe kutengeneza wajinga na kutengwneza fursa. Forex ni fursa. Haitengenezi bali inaondoa ujinga. Kwanza ujinga hautengenezwi. Ujinga upo by default hivyo knowledge inakuja kuuondoa
Hii mada ni kubwa kwako si dhani kama utaielewa, ulucho jibu hapa ni nje ya nilicho elezea na inaonyesha ni vipi ulivyo na uwezo mdogo sana
 
Sasa utofaitishe kutengeneza wajinga na kutengwneza fursa. Forex ni fursa. Haitengenezi bali inaondoa ujinga. Kwanza ujinga hautengenezwi. Ujinga upo by default hivyo knowledge inakuja kuuondoa
NGOJA NIKUSAIDIE.

Ujinga ninano zungumzia sio Physical bali ni Picha ya wajinga inayo tengenezwa. Inajengwa taswira ya wajinga ambao ndo watakuwa implementa wa Idea.

Hapa inabidi tuwe tunaingia na Flip chart kabisa na Markerpen
 
Ulitaka Bure?
Labda nibadilishe lugha tuelewane vizuri "tuite kutafuta wajinga wengi ili ku implement idea yako na kisha kutusua"

Tatizo naona watu humu wanakuja na mihemuko utafikiri ujinga ni tusi au kilema

Kutusua kupitia wajinga ndio mfumo wa dunia ulivyo! Ontario ametukusanya tuliokuwa wajinga wa Forex trading na kupitia kutupa knowledge hiyo atatusua kwa nafasi yake na sisi hatutabaki wajinga tena na pia sisi tunaweza kuamua kutusua kwa kutafuta wajinga wengine na kuwauzia huo ujuzi!

Hata wewe baada ya kuelewa hiyo Forex trading unaweza kuamua kwenda mkoa fulani na kukusanya wajinga ukatusua kupitia kuwapa knowledge ambayo hawakuwa nayo!

Nahisi wengi bado wanadhani ujinga ni tusi na kusema mtu kutusua kupitia ujinga wa mwenzake kwamba kaiba! This is not correct!!
 
Sasa utofaitishe kutengeneza wajinga na kutengwneza fursa. Forex ni fursa. Haitengenezi bali inaondoa ujinga. Kwanza ujinga hautengenezwi. Ujinga upo by default hivyo knowledge inakuja kuuondoa
Off course sio kuwatengeneza bali ni kuwatafuta ili kupitia gape la ujinga huo, wewe utengeneze kipato na wao watoke gizani!
 
Hii inataka uwe na akili kweli kweli, Tusiokuwa na akili kubwa inakuwaje sasa
 
Nakusifu kwa kuwa na id nyiiingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…