Lazia Sultan
Senior Member
- Jun 4, 2020
- 120
- 328
Nikiwa Shule ya Msingi mwalimu wetu wa sayansi aliwahi kutuambia kuwa, binadamu yeyote akiamka asubuhi lazima ajisaidie haja kubwa, na ikitokea siku hujapata haja kubwa mara baada ya kuamka asubuhi, jua kabisa siku hiyo wewe ni mgonjwa, unayestahili matibabu. Nilikaa na wazo hili muda mrefu, kila asub hata kama sisikii kujisaidia nilijifosi tu ilimradi nisiwe mgonjwa siku hiyo.
Kumbe yule ticha nadhani ratiba yake ya kujisaidia kila siku asubuhi akaifanya kuwa theory, akatufundisha darasani, Mwalimu Hassan kama bado upo hai, Mungu anakuona ujue.
Share kisa chako kama umewahi kuingizwa chaka na mwalimu wako.