Una jambo lolote uliwahi kudanganywa na Mwalimu wako?

Una jambo lolote uliwahi kudanganywa na Mwalimu wako?

Lazia Sultan

Senior Member
Joined
Jun 4, 2020
Posts
120
Reaction score
328
Nikiwa Shule ya Msingi mwalimu wetu wa sayansi aliwahi kutuambia kuwa, binadamu yeyote akiamka asubuhi lazima ajisaidie haja kubwa, na ikitokea siku hujapata haja kubwa mara baada ya kuamka asubuhi, jua kabisa siku hiyo wewe ni mgonjwa, unayestahili matibabu. Nilikaa na wazo hili muda mrefu, kila asub hata kama sisikii kujisaidia nilijifosi tu ilimradi nisiwe mgonjwa siku hiyo.

Kumbe yule ticha nadhani ratiba yake ya kujisaidia kila siku asubuhi akaifanya kuwa theory, akatufundisha darasani, Mwalimu Hassan kama bado upo hai, Mungu anakuona ujue.

Share kisa chako kama umewahi kuingizwa chaka na mwalimu wako.
 
Hapo unachukua bidhaa halafu huo 'mnyelamumo' sijui kipedo kipasuke katika.
 
Dah! That ka madame sikataji jina..kaliniambia hakuna kitu kinaitwa Persons...its either Person or people...but tuwasamehe tu walimu wetu.
 
Maadam J aliwah kunidanganya kua Mathematics n ngumu kuliko Physics, popote ulipo maadam J jah anakuona.
mkuu hapo hakukudanganya, nadhani kwake yeye ipo ivo, kuna mtu anaeza ona history/civics ni ngum kuliko hata mathe akati kwa mwingine ikawa kinyume chake.
 
mkuu hapo hakukudanganya, nadhani kwake yeye ipo ivo, kuna mtu anaeza ona history/civics ni ngum kuliko hata mathe akati kwa mwingine ikawa kinyume chake.
Mziki was phys nlokutan nao advance hapan maths inasubir sana, afu nilisoma yote hayo kwahiyo naelewa mziki wake.
 
Mziki was phys nlokutan nao advance hapan maths inasubir sana, afu nilisoma yote hayo kwahiyo naelewa mziki wake.
mkuu tofauti ya alichokuambia mwalimu wako inategemeana na nature ya kinachopendwa na akili, ndo maana kuna wengine phys wanaiona nyepesi kuliko masomo yote.
 
mkuu tofauti ya alichokuambia mwalimu wako inategemeana na nature ya kinachopendwa na akili, ndo maana kuna wengine phys wanaiona nyepesi kuliko masomo yote.
Oooh kumbe baas n sawa, ila phys weka mbali na watoto.
 
Mwalimu wangu wa jografi alinifundisha bahari haina mwisho. Nipo zangu feri hapa Mungu anamuona.
 
Thubutu wee phys hii nayoijua au ipi? Acha jokes lol
mkuu kigumu kwako kwa wengine kirahisi, kumbuka phys imetoka kwenye vichwa vya watu hivo ugum unaouona wewe si lolote kwengine.

nb: wadada wengi phys huwaboa sana hivo nisikushangae sana kwa usemacho.
 
Waliniambia kuwa binadamu walianza sokwe kisha akabadirika na kuwa mwanadamu. Nawasubiri awa sokwe wa uku porini hakuna ata anayeelekea kwenye ubinadamu wanazeeka tu
 
mkuu kigumu kwako kwa wengine kirahisi, kumbuka phys imetoka kwenye vichwa vya watu hivo ugum unaouona wewe si lolote kwengine.

nb: wadada wengi phys huwaboa sana hivo nisikushangae sana kwa usemacho.
Kwan phys inachagua jinsia? Wee inararua kwa wote tyuuuh.
 
Back
Top Bottom