Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Ukweli ndiyo huo.Kwa hiyo ili kupata huduma za kijamii kwa urahisi inabidi uwe mwanachama wa CCM la sivyo inakula kwako!
Hata kwenye tenda za serikali wakiwa kwenye vikao vyao vya kuzipitisha baada ya kujua percent yao swali lingine huwa una kadi ya chama gani?j Jichanganye sema huna au taja chama kingine usiponyang’anywa na tenda yenyewe.