Ukweli ndiyo huo.Kwa hiyo ili kupata huduma za kijamii kwa urahisi inabidi uwe mwanachama wa CCM la sivyo inakula kwako!
Uwongo, hata sisi tuna rafiki na ndugu huko ikulu, uwongo, alafu Juzi kazi gani za jeshi zimetoka?.la mwisho sasa huyo mwana wako nae chizi. Kaja anakuoa stry kagomewa kazi kwwasbabu ya kadi. Yaani wana kadi na kutiwa wametiwa. Unasema kadi ndio imepitisha.Sijaandika hio comment kudanganya au kupata like mkuu nimeandika kwasababu ndio uhalisia. Ninao wana mpaka ikulu wanafanya kazi wakishapasi interview wanaulizwa mlego wao wa siasa na wakisema hawana chama hapo huambiwa kachukuwe kadi ya ccm upate ajira. Juzi kuna mwana kakosa ajira sababu kuna wanawake wametoa rushwa ya ngono ni kazi ya jeshini hawa wote wana kadi za ccm.
Ndiyo sababu wana wanachama wengi "hewa" kwa maana hata kura hawawapigii..Siku hizi ukiomba ajira wana kuuliza unayo kadi ya CCM, kama huna na ajira hupewi.
Nami naenda kuongeza idadi ya wanachama hewa, kwanza nakichukia basi tu nitaichukua kadi kisha nitakuwa naitunza nje kwenye banda la mbwa ndani kwangu haingii maana ni kama naweka mkosi tu ila sina namnaNdiyo sababu wana wanachama wengi "hewa" kwa maana hata kura hawawapigii..
Kuna mtu alisema unatakiwa kuwa na kadi 2 kimkakati tu. Moja ya chama cha mboga mboga, nyingine ya kile kinachoibukia
Hapo kwenye banda la mbwa hahahaaaaaNami naenda kuongeza idadi ya wanachama hewa, kwanza nakichukia basi tu nitaichukua kadi kisha nitakuwa naitunza nje kwenye banda la mbwa ndani kwangu haingii maana ni kama naweka mkosi tu ila sina namna
Hiyo unayoomba kwa masharti itakuwa kazi au utumwa?Siku hizi ukiomba ajira wana kuuliza unayo kadi ya CCM, kama huna na ajira hupewi.