Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Una Kipi Cha Kuniambia Kabla Sijaweka Hela Yangu😂😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bet what you can afford to loose...Una Kipi Cha Kuniambia Kabla Sijaweka Hela Yangu😂😎View attachment 3146803
Au sio 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 maninaaaaaaaa oaaa weeeeeh
Hiko sio choo cha kukaa.
Hapo utachuchumaa
Mkuu kwema kwema lakini .?Kamali zinafurahisha Sana .
Oooh wajinga ndio waliwaooKekundu by Aic Makongoro choir
Kuna jamaa alishaonyesha wanavyofanya hivyo hushindi hata kwa nini hio ni mbluu tekenya mwendo wa kuibiwa kwa kutumia reverse psychology ipo tangu na tanguHapo hata ukiweka pesa kwenye kila Kibao bado utapigwa.
Nashangaa serikali hii inawaacha tu miaka nenda rudi. Tupia ndani wote
Kwema kabisa mkuu , nisijue kwako Mkuu.Mkuu kwema kwema lakini .?
Mkuu huku salama kabisa na harakati zinaenda salama kabisa mkuu...Kwema kabisa mkuu , nisijue kwako Mkuu.
🤝Mkuu huku salama kabisa na harakati zinaenda salama kabisa mkuu...
Nikikupa salamu bana