Una kumbuka hii enzi za video 1 mtaa mzima.cheki dirishan mnavyo banana!

Una kumbuka hii enzi za video 1 mtaa mzima.cheki dirishan mnavyo banana!

Joined
Mar 16, 2013
Posts
31
Reaction score
4
Dah kila mtu kaanzia mbali.Tuliwahi kupigwa picha na mwandish wa magaz,kisa katika pilika mtaani alitukuta tuna chabo video.mwaka 1988 moro boma road.je wewe unakumbuka nini enzi izo. .
 
Umenikumbusha enzi za lufufu unakuta umekaa na babu pembeni wote mnalipa 50 kumcheki bill blanks
 
Nakumbuka nilikuwa naweka pesa kila wiki nakuenda kuangalia movie wikiend kama sio Avalon itakuwa Empire au Empress au drive inn...
 
Nini hiyo.watu tulikua tunatoka iyunga mpaka soko matola mbeya miaka ya 80 kuangalia kideo kwa mama haweya.kiingilio gwala kutembea masaa matatu kwenda matatu kurudi.kisa amitha bachan au mithun chaklaboth
 
Back
Top Bottom