Dah kila mtu kaanzia mbali.Tuliwahi kupigwa picha na mwandish wa magaz,kisa katika pilika mtaani alitukuta tuna chabo video.mwaka 1988 moro boma road.je wewe unakumbuka nini enzi izo. .
Nini hiyo.watu tulikua tunatoka iyunga mpaka soko matola mbeya miaka ya 80 kuangalia kideo kwa mama haweya.kiingilio gwala kutembea masaa matatu kwenda matatu kurudi.kisa amitha bachan au mithun chaklaboth