Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Penina mwingine huyu hapa.Ukitoa atajua tu na ukizaa atakuja kujua tu akijua jiandae kwa lolote maana hasira za watu wapole tunazijua usiwe na wasi ngoja aje akufanye hamna atakapo rudi kutoka safarini