Una lipi la kumshauri huyu Mke wa mtu?

😁Eti alimkojoza akarusha maji...really?Kweli kukojoa Kwa mwnamke ni myth.Na huo utumbo atakuwa kaandika pumbu mmoja kuchangamsha genge
 
Reactions: EEX
Ukwel hapo kibabe ni kutoa .na kutubu kimya kimya .na kumuacha huyo ex ndo ubinadamu .

Ila kiusahihi ni kuchukua kila chako urudi kwenu umuandikie barua ya kumwambia ukweli na kuvunja ndoa
 
Huyo dokta wa mapenzi ama?

Pimbi wa kwenye Sani.

Hamna kitu hapo, huyo Mke anataka kutengeneza mazingira ya kupata sehem ya kutoa mimba. Kama hii sio chai lakini!
 
Kwa kuwa kaomba ushauri! Nashauri ajinyonge tu kuepuka fedheha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…