So what?Tujuzane unayo mangapi?
Na kwa siku unaingia yote?
mkuu naona umemalizia na kichinaBora mimi situmii hiyo kitu kwanza umbea mwingi na majungu..nilipojua j.f hiyo kitu niliifuta ila baadae nitairidisha[emoji12] [emoji12]
So far nimeshahama ofisi 4, nikihama ndo ntolee hio Najitoa mazima kabisaUkihama ofisi?
Duhhh!!! La Primary,chuo,diet,ujasiriamali,Bible Champions,women only,wabeba maono,sports,mapishi,duhhh!! Mengiiii[emoji85] [emoji23] [emoji87] ......ila hapo nimegawa kny simu mbili halafu yote ni admn[emoji23] [emoji23] [emoji23] (just joking)[emoji125] [emoji125]
Kuna watu wamekuwa hadi watumwa wa haya ma-group! Usiombe uwe nao sehemu maana watakuwa busy kuchungulia messages za ma-group yote wanasahau kabisa kuwa wako na wenzaoKuna dada tunafanya nae kazi , ana makundi 46
Hahahahaaaaa, group la watu wawili tu!!!Tuanzishe group moja mi na wewe.