Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
12Tujuzane unayo mangapi?
Na kwa siku unaingia yote?
Hakuna ubaya kaka. Uwanja wenuKuna ubaya.??
Huyo kufunguwa tu bila kuchangia anatumia muda mwingi, akichangia je? Hapo bado mtu mmoja mmoja ni shidaKuna dada tunafanya nae kazi , ana makundi 46
So what?
Kumi na moja na yote naingia kila siku
La primary, sec,kitaa, job, family,chuo, viti viref.
Duhhh!!! La Primary,chuo,diet,ujasiriamali,Bible Champions,women only,wabeba maono,sports,mapishi,duhhh!! Mengiiii[emoji85] [emoji23] [emoji87] ......ila hapo nimegawa kny simu mbili halafu yote ni admn[emoji23] [emoji23] [emoji23] (just joking)[emoji125] [emoji125]
We una mangapi?Kuna ubaya.??
Hapo mkuu umenenaHili tatizo la ajira haliwahusu wengi humu maana naona group la kazini na chuo karibu raia wote humu
Alie na group la kujuzana mambo ya ajira anishtue.
Nipo inactive kwenye group moja, la sekondari. Walini add nikajitoa wakani add tena nikaona sio kesi nipo tu inactive. Kwangu hayana maana yoyote.Tujuzane unayo mangapi?
Na kwa siku unaingia yote?
La ubuyu je?!!!Mawili...
1.Family
2.Siasa
Period
[emoji23][emoji23][emoji23]huwezi amini mkuu...sina!La ubuyu je?!!!
Mkuu umenikumbusha picha na video za kutisha zinaumiza moyo sana, iliwahi kutumwa kwenye group nililounganishwa unwillingly ati watu kama watano hivi sijui walisadikika ni wachawi...wanachomwa...sikuangalia mara mbili..nilijitoa haraka sana huwa siwezi kuvumilia kuangalia mauaji ambayo najua ni ya ukweli..bora ingekuwa movie najua maigizo.nilipotumiwa picha ya rebels wa west africa wakiwachinja mateka nilipo maliza kuangalia nikakumbuka siku chache kabla nilitumiwa ya bodaboda anachomwa moto nikajitoa kwenye makundi yote.
Mi nimefuta whattsap kwa sasa.Nipo inactive kwenye group moja, la sekondari. Walini add nikajitoa wakani add tena nikaona sio kesi nipo tu inactive. Kwangu hayana maana yoyote.