Una ma-Group mangapi ya Whatsapp?

Una ma-Group mangapi ya Whatsapp?

Status
Not open for further replies.
1: la JF
2: Familia
3: magroup ya schools, primary, o'level Na A'level
4: ya mtaani 4
Jumla 9.......hayo manne nayapiga chini soon.!
 
Kuna dada tunafanya nae kazi , ana makundi 46
Huyo kufunguwa tu bila kuchangia anatumia muda mwingi, akichangia je? Hapo bado mtu mmoja mmoja ni shida

Kumi na moja na yote naingia kila siku

La primary, sec,kitaa, job, family,chuo, viti viref.

Duhhh!!! La Primary,chuo,diet,ujasiriamali,Bible Champions,women only,wabeba maono,sports,mapishi,duhhh!! Mengiiii[emoji85] [emoji23] [emoji87] ......ila hapo nimegawa kny simu mbili halafu yote ni admn[emoji23] [emoji23] [emoji23] (just joking)[emoji125] [emoji125]
 
3
1. Wataalam
2. (secondary schools)
3. Origin (kibudz)

Nakutana na jambo moja kwa magroup yote kujadili siasa kunaleta kutokuelewana na kujileftisha aghalabu hujitokeza.

Kuna jamaa huwa hawana hoja hukimbilia kutoa lugha za kibabe na mwishowe utengemano wa group hutiwa dosari.

Sehemu zote hizo kina FaizaFoxy, Ritz ndio wahanga wa hoja wanapotoa vihoja na kuwa vioja.

Wekeni nanyi experience zenu za hayo magroup.
 
Primary
Secondary
Family
My Clique [emoji482] [emoji491]
Kazini
5groups
 
Nawasikitia vijana wanavyotafuta kila mbinu za kupoteza muda ambao wengine tunajutia......

Huo muda unaotumia kuchangia mambo ya kipuuzi huko kwenye magroup.....kwanini msiwe hata mnasoma vitabu na kujiongezea maarifa yenye manufaa kwenye maisha yako au kazini kwako......

Kwanin hata usipitie hata vitabu vya taaluma yako kujiongezea ujuzi......na kujiongezea sifa ya ziada kwenye soko la ajira....!!??

Kwanini hata usitenge muda huo huo kufanya mazoezi na kuuweka mwili wako katika hali nzuri.....

Kibaya zaidi ni kuwa hayo magroup mengi yanajadili mambo ya kipuuzi na ya kimbea mbea ambayo huwezi kuamini kuwa mtu mwenye malengo yake ya kimaisha anapata wapi muda wa kujadili ujinga kama huo......

Ni magroup machache sana yanayojadili mambo ya msingi.....

Inashangaza sana.....wengine mpaka wanataka kugongwa na magari huko mabarabarani kwa ajili ya hayo magroup......

Wakati ni ukuta......
 
Hili tatizo la ajira haliwahusu wengi humu maana naona group la kazini na chuo karibu raia wote humu

Alie na group la kujuzana mambo ya ajira anishtue.
 
Tujuzane unayo mangapi?
Na kwa siku unaingia yote?
Nipo inactive kwenye group moja, la sekondari. Walini add nikajitoa wakani add tena nikaona sio kesi nipo tu inactive. Kwangu hayana maana yoyote.
 
Ninayo nane lkn actevel matano moja second admn
 
Nina moja tu la Familia ,ikiwa na maana ya wazazi ,mashangazi ,wajomba Nk ,huko ni kupeana updates ya mambo mbalimbali yanayohusu familia ,kuchangia vinavyotakiwa kuchangia Nk
 
Only ONE
Family group.......
Majungu siwezagi
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
nilipotumiwa picha ya rebels wa west africa wakiwachinja mateka nilipo maliza kuangalia nikakumbuka siku chache kabla nilitumiwa ya bodaboda anachomwa moto nikajitoa kwenye makundi yote.
Mkuu umenikumbusha picha na video za kutisha zinaumiza moyo sana, iliwahi kutumwa kwenye group nililounganishwa unwillingly ati watu kama watano hivi sijui walisadikika ni wachawi...wanachomwa...sikuangalia mara mbili..nilijitoa haraka sana huwa siwezi kuvumilia kuangalia mauaji ambayo najua ni ya ukweli..bora ingekuwa movie najua maigizo.
 
Nipo inactive kwenye group moja, la sekondari. Walini add nikajitoa wakani add tena nikaona sio kesi nipo tu inactive. Kwangu hayana maana yoyote.
Mi nimefuta whattsap kwa sasa.
Sina watu wa kuwasiliana nao, imenijazia nafasi tu.
Hadi nitakapopata wa kuniweka bize.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom