Una maisha matamu ukiwa na mpenzi mtamu au unateseka?

Una maisha matamu ukiwa na mpenzi mtamu au unateseka?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Japo ni kama nadharia tu ila underground ni kama ndio uhalisia wa maisha, once you get good and satisfying sex, life becomes nutritious, you see plan, growth, progress and success unto you.

Eyes, heart, feelings, trust, beliefs plus the power of the universe.

Maisha matamu + mapenzi matamu ndio habari ya Dunia.

Je, una maisha matamu na mapenzi matamu au unateseka ukiwa pande zipi.

Mjadala upo wazi.

Wadiz
 
FB_IMG_16969953545676134.jpg
 
Uwe na pesa kwanza ndio ifanye kunogesha mapenzi Kwa pic za mjinii...

Utafute mtt mmoja mwenye nyashi lainii ....
 
Mi Huyu mhaya simuachi wanasema malaya oh hajatulia ila simuachi ni mtamu kwakweli

Kila Siku anataste Mpya [emoji39]
 
Nateseka nikiwa hapa Mloganzila 🤣🤣
Pole sana D!!vumilia yatakwisha,,kwani umeamua kumkosoa Mungu Kwa upande upi katika mwili wako ukiwa hapo Mloga??
 
Pole sana D!!vumilia yatakwisha,,kwani umeamua kumkosoa Mungu Kwa upande upi katika mwili wako ukiwa hapo Mloga??
😂😂😂 babu pls, haiko hivyo.
Nipo nafanya sajari ya kupunguza libido 🙈🏃🏃🤭🤪
 
😂😂😂 babu pls, haiko hivyo.
Nipo nafanya sajari ya kupunguza libido 🙈🏃🏃🤭🤪
Kwani D,,hiyo libido si ni kudra zake Mnyazi Mungu amependezwa Iwe hivyo kwako Kwa nini sasa unaipunguza??
 
Mara nyingi maisha yakiwa matamu...

Mapenzi yanakuwa machungu...
 
😂 inasumbua.. basi sawa wacha nirudi nyumbani
Rudi tuu,,,Mungu atakujalia wa kufanana nae hapo ndipo utakapoona ukuu wake katika uumbaji wake uliotukuka haswa
 
Back
Top Bottom