Basso seleman
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 432
- 118
ale unga akonde afe anazikwa maisha yanaendela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bangi tu hio mbona kawaida tu, akili zajo zikiwa fupi haijutaki kila ukiona unavuta unaenjoy bac akili yako inaweza kuhandle, nadhani mshajua jibu kwanini wazungu hawachanganyikiwi kila baadhi ya wafrika wanadata
mi sjaelewa uhusiano wa hii picha na comment za wachangiaji.sasa hapo anakula ganja alaf kuna watu wanasema bado kupakatwa kwan ganja inauhusiano gan na kupakatana?
Acheni kasumba za kizamani nyinyi.bangi sio uhuni tatizo tu wahuni wengi wanatumia.nina mwaka wa 10 sasa natumia huu mmea naujua vyema hauna tatzo lolote.tatizo hawa wanaoidandia bila kujua kanuni za matumizi yakesi ndo mambo vijana wanayopenda kuiga, kama kaiga kuvuta bangi na kuolewa ataiga
Kanuni za matumizi yake ni zipi mkuu.!??Acheni kasumba za kizamani nyinyi.bangi sio uhuni tatizo tu wahuni wengi wanatumia.nina mwaka wa 10 sasa natumia huu mmea naujua vyema hauna tatzo lolote.tatizo hawa wanaoidandia bila kujua kanuni za matumizi yake
Huyu dogo role model wake ni Young Money Lil Wayne...so anajitahd kuishi maisha kama ya jamaa wakat anapotea.Inasemekana na Unga anatumia.... Mmh,ajitambue anafupisha maisha yake.
Vp kuna kiongozi wa juu wa serikali amedhalishwa ktk hii mada?.Halafu cybercrime inahusika hapa wakiamua.