Una maoni gani kuhusu msanii huyu Young dee?

Una maoni gani kuhusu msanii huyu Young dee?

Kanuni za matumizi yake ni zipi mkuu.!??
1.moderation is always the key.sio unafakamia mibange kama unalipwa au kama ugali.one or two joints a day or a week sio mbaya.

2.usitumie kush kama kimbilio ukiwa na stress ama msongo wa mawazo.weed is strictly for recreational purpose.

3.Kula vizuri.bangi inaboost sana mmengenyo wa chakula tumboni.sasa wewe hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku huna alaf unasmoke lazima udate

3.epuka kuvuta kwenye vijiwe vya wahuni.tafuta sehemu tulivu ufanye yako

4.jipime mwenyewe kama akili yako inaweza kuihimili kama unajiona kabisa kichwa maji achana nayo.sio kila mtu inamfaa

5.jua nini kinaingia mwilini mwako sio tu sababu umeambiwa ni ganja unajivutia tu.lazima ujue ni ya aina gan,inatokea wapi,THC iko asilimia ngapi etc.

6.hakikisha unainyonga mwenyewe au unashuhudia ikiwa inanyongwa.wengine wanachanganya na madawa ya kulevya wenyewe wanaita cocktail ukivuta hyo unaingia kwenye uraibu wa unga.utaskia jamaa kavuta mjani kawa chizi ndo inakuwaga hyo mixa.

7.sio lazima utumie na wanaotumia wanatafautiana.Ganja inavutwa na kuanzia wapiga debe mpaka na viongozi na watu wa nyadhifa tafauti ktk jamii.wengine ukiambiwa wanatumia huwezi amini.kuna mpaka mbunge alitoa hoja bungeni kuitaka serikali iihalalishe.

ova
 
Huyu jamaa aliongea mpaka akatoa machozi dah, tunampoteza huyu dogo
Kweli kwa yale mazungumzo ya Manager wake hakika dogo anapotea wamuwahi mapema kabla hajafikia hatua ya kina chid Vitz gari kuwaka .
 
Acheni kasumba za kizamani nyinyi.bangi sio uhuni tatizo tu wahuni wengi wanatumia.nina mwaka wa 10 sasa natumia huu mmea naujua vyema hauna tatzo lolote.tatizo hawa wanaoidandia bila kujua kanuni za matumizi yake
Unadhani ni kwanini inatumiwa na wahuni wengi?
 
Samahani jamani , kwani huyu young Dee ndio nani?? I mean anahusika na nn? Na mbna ni kijana mdogo sana anavuta kitu kama bangi
 
Niliona siku moja akihojiwa EATV anaulizwa maharage anajibu sukari ni kama mtu aliyechanganyikiwa naona huruma sana maana ni bado mtoto mdogo sana
Na ukimfuata ukamwambia ana tatizo atakataa na atasema mbona nipo poa tu
Mpaka aharibikiwe kabisa
Ndo mn akafyatua ile single anasema kila kitu kwake Ni ujanja ujanja hvyo yt hayo Ni matokeo ya ujanja ujanja....
 
mbona obama anavuta bange na hamshangai,?? sembuse young daresalama
 
Hiko kitovu ukikiangalia kwa haraka unaweza sema ni jicho 😀😀
Ila kwa maoni yangu aongeze juhudi na kubeba nondo,maana kwa kifua alichonacho asidiriki kuvua shati jukwaani.
YNWA
Hahahaha abebe nondo kwa chakula kipi anachokula?
 
Yani akikonda sijui atakuwaje huyo,anajipoteza mwenyewe kwa upumbavu wake
 
Back
Top Bottom