Una maoni gani kuhusu msanii huyu Young dee?

Ni bangi tu hio mbona kawaida tu, akili zajo zikiwa fupi haijutaki kila ukiona unavuta unaenjoy bac akili yako inaweza kuhandle, nadhani mshajua jibu kwanini wazungu hawachanganyikiwi kila baadhi ya wafrika wanadata

Nani aliekwambia wazungu hawachanganyikiwi?
 
Aongeze dozi, tutamchangia tu mbona chid tulimsikitikia tukamsaidia na ray c
 
mi sjaelewa uhusiano wa hii picha na comment za wachangiaji.sasa hapo anakula ganja alaf kuna watu wanasema bado kupakatwa kwan ganja inauhusiano gan na kupakatana?
 
mi sjaelewa uhusiano wa hii picha na comment za wachangiaji.sasa hapo anakula ganja alaf kuna watu wanasema bado kupakatwa kwan ganja inauhusiano gan na kupakatana?

si ndo mambo vijana wanayopenda kuiga, kama kaiga kuvuta bangi na kuolewa ataiga
 
si ndo mambo vijana wanayopenda kuiga, kama kaiga kuvuta bangi na kuolewa ataiga
Acheni kasumba za kizamani nyinyi.bangi sio uhuni tatizo tu wahuni wengi wanatumia.nina mwaka wa 10 sasa natumia huu mmea naujua vyema hauna tatzo lolote.tatizo hawa wanaoidandia bila kujua kanuni za matumizi yake
 
Kanuni za matumizi yake ni zipi mkuu.!??
 
Naona anadhani ndio ujanja wakati ni ubatili mtupu!
 
yeye mwenyewe anasema "mombasa wanamuita bahasha"
 
Huyu dogo role model wake ni Young Money Lil Wayne...so anajitahd kuishi maisha kama ya jamaa wakat anapotea.Inasemekana na Unga anatumia.... Mmh,ajitambue anafupisha maisha yake.

Sasa hv aanajiita wiz kkhalifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…