Una mawazo ya Biashara lakini huna mtaji? Fuatilia mjadala huu

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Nmekuwa na ubunifu mzuri sana wa biashara na kuna wakati nlibuni wazo zuri sana nikalipeleka kwenye kampuni flan ya simu ambapo waliomba wafanyakazi wenye mawazo ya biashara waandike mawazo yao. kampuni ikachukua wazo langu ila ikabadilisha jina na sasa linatumika na kuwekwa kwenye matangazo sikupata hata shilling ya mkoloni.nikaishia tu kulalamika maana sina namna . kwa sasa nmekuwa pia na mawazo kadhaa ya kibishara ambayo najua yanaweza kuisaida kampuni ya simu au hata haya makapuni ya bima na mifuko ya jamii lakini tatizo ni kuwa sina tena uaminifu nao. ukiacha hilo nina mawazo meng sana ya kufanya biashara lakini tatizo sina mtaji nasikitika hata nikwasimulia wenzangu wanaanza kufanya mchakato wao jinsi ya kufanya biashara hiyo maana kuna kipindi huwa natoa mawazo ambayo ni bikra kabisa... yaani hayajawahi kutumika katika biznez. sasa wadau nina wazo la iana flan ya biashara mabayo inahitaji mtaji angalau wa mil 5 najua itarudi ndani ya mwaka mmoja lakini wapi ntapata hiyo pesa mimi mlalahoi?
wakati mwingne nawaza hata ingewezekana kuwa ningekua nauza haya mawazo kwa watu angalau si mbay. kuzaliwa afrika nako ni tatizo sana ndugu zangu.
 
Wazo la biashara au biashara yoyote inayorudisha pesa kwa muda wa mwaka ni ya kawaida sana!ungesema miezi3 at Least
 
Sasa mkuu mimi namtaji wa laki 2 nifanye nn ifike milion 100
 
weka hapa wazo lako kama linalipa mi nitakupa mtaji
 
Pesa zipo weka wazo lako tulitathmini km linalipa uje uchukue mtaji apa.
 
Nmekuwa na ubunifu mzuri sana wa biashara na kuna wakati nlibuni wazo zuri sana nikalipeleka kwenye kampuni flan ya simu ambapo waliomba wafanyakazi wenye mawazo ya biashara waandike mawazo yao. kampuni ikachukua wazo langu ila ikabadilisha jina na sasa linatumika na kuwekwa kwenye matangazo sikupata hata shilling ya mkoloni.nikaishia tu kulalamika maana sina namna . kwa sasa nmekuwa pia na mawazo kadhaa ya kibishara ambayo najua yanaweza kuisaida kampuni ya simu au hata haya makapuni ya bima na mifuko ya jamii lakini tatizo ni kuwa sina tena uaminifu nao. ukiacha hilo nina mawazo meng sana ya kufanya biashara lakini tatizo sina mtaji nasikitika hata nikwasimulia wenzangu wanaanza kufanya mchakato wao jinsi ya kufanya biashara hiyo maana kuna kipindi huwa natoa mawazo ambayo ni bikra kabisa... yaani hayajawahi kutumika katika biznez. sasa wadau nina wazo la iana flan ya biashara mabayo inahitaji mtaji angalau wa mil 5 najua itarudi ndani ya mwaka mmoja lakini wapi ntapata hiyo pesa mimi mlalahoi?
wakati mwingne nawaza hata ingewezekana kuwa ningekua nauza haya mawazo kwa watu angalau si mbay. kuzaliwa afrika nako ni tatizo sana ndugu zangu.

Mkuu habari??

Naomba kujua ulipo. PM Namba yako ya simu tuwasiliane.
Kuna venture nimeanza, unakuja na wazo la biashara, na mchanganuo wake halafu unapewa pesa, siyo mkopo ila mnaingia kwenye "Partneship Deed" faida tunagawana kwa jinsi ya makubaliano ie 30:70, 40:60 , 50:50 inategemea na wazo lako litavutia kiasi gani.
Karibu mkuu.
 
Mtumie Reginald Mengi wazo lako yeye anatoa m10 kila mwezi kwa wazo bora na m1 kwa wale walioingia top 10
 
We unafikiri watunzi wa nyimbo ni wazuri kwenye kuziimba? Utakapojaribu ndo utajua. Tofauti ni kubwa.
 
Back
Top Bottom