GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Nmekuwa na ubunifu mzuri sana wa biashara na kuna wakati nlibuni wazo zuri sana nikalipeleka kwenye kampuni flan ya simu ambapo waliomba wafanyakazi wenye mawazo ya biashara waandike mawazo yao. kampuni ikachukua wazo langu ila ikabadilisha jina na sasa linatumika na kuwekwa kwenye matangazo sikupata hata shilling ya mkoloni.nikaishia tu kulalamika maana sina namna . kwa sasa nmekuwa pia na mawazo kadhaa ya kibishara ambayo najua yanaweza kuisaida kampuni ya simu au hata haya makapuni ya bima na mifuko ya jamii lakini tatizo ni kuwa sina tena uaminifu nao. ukiacha hilo nina mawazo meng sana ya kufanya biashara lakini tatizo sina mtaji nasikitika hata nikwasimulia wenzangu wanaanza kufanya mchakato wao jinsi ya kufanya biashara hiyo maana kuna kipindi huwa natoa mawazo ambayo ni bikra kabisa... yaani hayajawahi kutumika katika biznez. sasa wadau nina wazo la iana flan ya biashara mabayo inahitaji mtaji angalau wa mil 5 najua itarudi ndani ya mwaka mmoja lakini wapi ntapata hiyo pesa mimi mlalahoi?
wakati mwingne nawaza hata ingewezekana kuwa ningekua nauza haya mawazo kwa watu angalau si mbay. kuzaliwa afrika nako ni tatizo sana ndugu zangu.
wakati mwingne nawaza hata ingewezekana kuwa ningekua nauza haya mawazo kwa watu angalau si mbay. kuzaliwa afrika nako ni tatizo sana ndugu zangu.