Una miaka 23 na 'Unambaka' Mtoto wa Miaka 4, hivi Serikali na Mahakama kwanini hawa 'Wapumbavu' msiwe 'Mnawanyonga' tu moja kwa moja?

Una miaka 23 na 'Unambaka' Mtoto wa Miaka 4, hivi Serikali na Mahakama kwanini hawa 'Wapumbavu' msiwe 'Mnawanyonga' tu moja kwa moja?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mahakama ya wilaya ya Ruangwa imemhukumu Juma Saidi Selemani almaarufu kama Dj Mushizo (23) mkazi wa Kijiji cha Nandanga wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa miaka minne.

Hukumu hiyo ya kesi ya Jinai namba 3071/2024 imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Ruangwa Yasinta Kingwala mbele ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali Mkaguzi wa Polisi Bocho Matiko baada ya mtuhumiwa huyo kukutwa na hatia.

Mtuhumiwa alitenda kosa hilo Januari 10, 2024 na kukamatwa Januari 11, 2024 kisha kufikishwa Mahakamani na kusomewa shtaka lake lililokuwa linamkabili lakini mtuhumiwa alikana kosa uUshahidi ulimtia hatiani na kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria.

Chanzo: East Africa TV

Tukiwaambie tuigeni Sisi kupiga Punyeto au kununua Mimalaya Mitaani ili tumalize Haja zetu mnatuona hatuna Akili.

Dada ephen_ upo?
 
Sijui kwanini vitendo vya ukatili vinaongezeka

Wanaume wapimwe magonjwa ya akili mara kwa mara.
 
Wanaenda tu kula chakula cha serikali bure....wangerudishwa kwa baba yao wapumzike huko
 
Mizigo yoote hii mitaani iliyojaa tena unapewa mashimo yoote kuanzia kubwa, ndogo, mdomoni, masikioni, unalambwa mwili mzima kama unataka kumezwa na chatu vile na ukimwaga unapewa pole.

Raia kama huyu unatumbukiza tu kwenye pipa la cyanide maana ni useless citizen.
 
Kuna mtu alisema tunaweza kufuatilia mwenendo wa kesi nzima online kwakua hua zinawekwa kwenye website ya mahakama.

Alisema ukisearch tu google inakuletea kesi nimejaribu kusearch Tanzania vs jina la mtuhumiwa ila kesi haijaja.

Kwa anayejua naomba anielekeze
 
Inasikitisha sana. Naunga mkono hoja ya mleta mada
 
Ogopa sana kuwa na mazoea na watoto wadogo. Usimuige Yesu kusema waacheni watoto wadogo waje kwangu. Yanaweza yakakukuta ya kukuta ukaenda jela kwa kusingiziwa
 
Back
Top Bottom