Una Miaka 30+ unafata nini night club?

Kuna hao 30+ hawana familia na Wala hawajarajii kabisa kuwa na familia ndio maana Huwa wanaenda huko pia nawao kujaribu bahari Yao huko
 
Tunafanan yaani tangu nifike tu chuo ile miaka 23 , hizo mambo zimenishinda kama kwenda club, kuweka party , kufungulia mziki sauti ya juu wazee wa subwoofer na kwenda mkesha.
 
JF imejaa vitoto siku hizi! Miaka 30 unamuona mtu mzima sana kuingia club?
 
Wewe endelea kujifungia ndani mama zako mkeo na dada zako tupo nao huku club tunawanywesha Savana na tunaenda kulala nao
 
Maneno ya mtu ambaye hata buku inamshinda, tafuta pesa kijana hayo mambo ya umri ni namba tu. Si ajabu Haji anawapindua kwenye kuchukua pisi kali.
 
Mbona mnatusakama twenye miaka 30 acha wivu huo
 
30 mbali kote huko. mtu wa miaka 20+ tu hatakiwi kukanyaga club. anatakiwa kukaa nyumbani ajifunze coding.
 
Nafata mademu. Watoto wa elfu 2.
 
Wengine hata mziki hawachezi wakienda huko wao wanasikiliza mziki tu na kula vitu vyao,kwakua watoto hawana hela ndio wanafuata hao wakubwa wao ili wapate hela,it’s a win+win situation.
 
Maneno ya mtu ambaye hata buku inamshinda, tafuta pesa kijana hayo mambo ya umri ni namba tu. Si ajabu Haji anawapindua kwenye kuchukua pisi kali.
Life start at 45+ watoto wakali unaokota kama mchanga, tena they don't ask bout ages!, tutafute mkwanja, tupate ndinga kali.
 
Inakuuma sana ?....waache watu wale maisha we mwehu nini
 
Ukiona unaamkiwa shikamoo na mabinti jua unaenda club kufedheheka, au ukiona unaanza kuitwa mjomba badala ya bro, jua umeaga mashindano
Hao mabinti wenyewe sasa hivi wanataka watu wazima
 
Unaona tunakuja kukuibia madem ambao umeshindwa kuwahonga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…