Una mipango gani kwa miaka 10-20 ijayo?

It seems like you have life sorted, Kila la kheri.

Karibu sana kwenye mapambano.
 
We b
Wege kweli nikuambie ili mniroge? Muanze kunionea kijicho na hasidi watu wa jamii forum?
 
Ni vizuri kuwa na mipango ila mpango wako hautakupatia financial freedom.
Bado kuna mengi najifunza. Financial freedom najua ni safari nyingine ambayo inahitaji umakini zaidi.

Nadhani financial freedom inaweza kuwa determined zaidi na vipaumbele vya mtu. Jinsi safari ya maisha inavyoendelea ni nafasi nyingine ya kujifunza zaidi.

Asante kwa maoni yako.
 
Asante sana mkuu. Kila safari inaanzia kwenye kilometre 0. Najua kabisa siyo kazi rahisi, kuna mstari mwembamba unaotenganisha kufaulu na kufeli.

Tunaishi tukiwa na matumauni ya kuamka kesho ila hata pumzi ya sekunde 1 ijayo hatuna uhakika nayo.
upo sahihi kikubwa uwe na malengo na mpango kazi wa kuyafanya yatimie.
 
Nimesikia sauti tu ya mtu aliye nyikani ikinambia..."amkaaa wewe.You nearly "wetted" the mattress.Those are pipe-dreams"...!๐Ÿค”
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hizi ni ndoto za kawaida kabisa kwasababu hata vizazi vilivyopita wengi wamejenga career zao kupitia elimu, biashara na wengi wanastaafu kwenye 60s. Kipi cha ajabu nilichoandika?

Kuogopa kufeli ni hatari zaidi kuliko kufeli kwenyewe.
 
Labda kama uko nje ya Tanzania, ila kama upo hapa bongo Land.

Safari bado mbichiiii....
Ndiyo maana nahitaji miaka 20 na inaweza kuchukua hata miaka 30 maana unachokipanga siyo kuwa kitanyooka tu.

Yes! Tanzania ni moja ya disadvantage kwenye mpango wangu. Career yangu naijenga zaidi kwenye freelance na kuna vitu kama serikali inafanya viwe vigumu.
 
Nina mipango ya kufunguwa kilinge cha uganga wa kienyeji.
Nimegunduwa ukitaka kupata pesa na Kula kuku , mbuzi na mbususu za bure bure uwe mganga wa kienyeji..

Hii ni mipango yangu ya miaka 10 ijayo..
 
Kabla sijachangia naomba kufahamu
1. Unafanya kazi masaa mangapi kwa siku /wiki kulekea hizo ndoto zako.
2. Gharama ya mlo wako mmoja hua ni kiasi gani lets say lunch au breakfast.

Ndani ya mada . Sina mpango wowote ule hua naishi kwa kunata na beat, yaan freestyle life.
 
nikiwa sec.school niliapa kutoenda migodini kuchimba, no matter what will happen..hii ni baada ya kumuona jirani yetu kavunjika hovyo hovyo mguu wake,..na ukizingatia tena kwetu mzee na mama wote ni wasomi na wafanyakazi wa SERIKALI...miaka sita baadae nikajikuta niko migodini nikigonga nyundo balaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, ..wachimbaji wenzangu walikuwa hawajui kuwa hata kitabu nimepiga, maana nilibadilika na kuamua tu sasa liwalo na liwe......so nakutakia safari njema bwana mdogo, ila fahamu changamoto za maisha halisi ni kubwa mno kuliko hizo za kwenye karatasi....
 

Attachments

  • FB_IMG_1686296807033.jpg
    17.7 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ