Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu pambania kombe hapa hapa nyumbani bongo Tanzania....Kulingana na kazi zangu za freelance upo mpango kazi mwingine wa kuondoka Tanzania ila unahitaji pesa kuukamilisha.
Kwa sasa kuna nchi nyingi zinatoa Digital Nomad Visa ila kuna minimum requirements bado sijakidhi vigezo: kwenye kiasi cha pesa ninachopata kwa mwezi ndiyo tatizo.
Nahitaji kufikia €750 - €2,500 kwa mwezi kuwaza kuondoka Tanzania.
Tayari kuna nchi ndani ya Europe ipo kwenye mipango ila bado siuoni kama ni mpango halisia kwa sehemu niliyopo kwasasa katika maisha.
Bongo Kuna fursa nyingi sana Kwa Sasa tafuta giant kwenye field yako au field yeyote jifanye royal Kwa miaka mi nne wewe fanya business intelligence then anzisha chako hope utafanikiwa.....
Cc. Mshana Jr