ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
kila mtu anajua hili kuna walimu walituvumilia sana mpaka tukafika hapa tulipo leo. Lakini wengi wetu tukishamaliza shule hatukanyagi tena hata kwenda kusema Asante mwalimu.
Je, wewe una mpango wa siku moja kurudi kuwasalimia walimu wako wa primary na sekondari, au unaona muda umeshapita na huna tena hiyo shobo?
Binafsi naona inaweza kuwa furaha kubwa kwa mwalimu kumuona mwanafunzi wake amerudi baada ya miaka mingi akiwa na maisha yake tena ukamkumbusha vitu ambavyo aliwahi kuzungumza na bado havijakutoka kichwani kwa mfano mimi nakumbuka mwalimu wangu wa hesabu la sita mughanga primary Singida huko alifundisha kuhusu grafu mpaka leo sijamsahau kwamba x lazima iwe kulia maana ni positive na y itaenda chini maana ni negative mpaka leo sijamsahau huyo mwalimu wala mbinu yake hio so hawa walimu kuna namna tukawacheki..Nyie mnasemaje?