Mdogo tu .Duh na we unakaribia kufa asee.?20 years toka chuo
Kabisa .Hii kutembelea Shule na kuwasalimia walimu labda kwa nyie GenZ
Wengine labda tukaangalie majengo ya Shule tu,
Ila ni vizuri mtu kutembelea chimbuko lako na mitaa uliyo kulia,
Hii ni burudani tosha sana,huleta hisia kali sana.
😄Inategemea mkuu.
Kwa mfano mimi walimu walionifundisha kwanza wote walisha stafu kitambo sana na almost 90% wame danja.
Nina miaka 20 toka nigraduate chuo. Sasa piga hesabu miaka yote hiyo huyo mwalimu kameza hirizi gani inayomzuia asife!
😁Utoke Dar uende simiyu just kusalimia mwalimu tu?
Yeah binafsi ndio utalii wangu mkuuHii kutembelea Shule na kuwasalimia walimu labda kwa nyie GenZ
Wengine labda tukaangalie majengo ya Shule tu,
Ila ni vizuri mtu kutembelea chimbuko lako na mitaa uliyo kulia,
Hii ni burudani tosha sana,huleta hisia kali sana.
baadhi ya walimu walionifundisha kwa sasa ni staff wenzangu, tumejikuta wote tunapewa vipindi vya kufundisha wadogo zetu.kila mtu anajua hili kuna walimu walituvumilia sana mpaka tukafika hapa tulipo leo. Lakini wengi wetu tukishamaliza shule hatukanyagi tena hata kwenda kusema Asante mwalimu.
Je, wewe una mpango wa siku moja kurudi kuwasalimia walimu wako wa primary na sekondari, au unaona muda umeshapita na huna tena hiyo shobo?
Binafsi naona inaweza kuwa furaha kubwa kwa mwalimu kumuona mwanafunzi wake amerudi baada ya miaka mingi akiwa na maisha yake tena ukamkumbusha vitu ambavyo aliwahi kuzungumza na bado havijakutoka kichwani kwa mfano mimi nakumbuka mwalimu wangu wa hesabu la sita mughanga primary Singida huko alifundisha kuhusu grafu mpaka leo sijamsahau kwamba x lazima iwe kulia maana ni positive na y itaenda chini maana ni negative mpaka leo sijamsahau huyo mwalimu wala mbinu yake hio so hawa walimu kuna namna tukawacheki..Nyie mnasemaje?
Nawe utashangaa 20yrs hii hapa!Dah mimi nina miaka 7 toka chuo
Mbona ni kama alikuingiza cha kike, vipi ulifaulu kweli hesabu mkuukila mtu anajua hili kuna walimu walituvumilia sana mpaka tukafika hapa tulipo leo. Lakini wengi wetu tukishamaliza shule hatukanyagi tena hata kwenda kusema Asante mwalimu.