Achebedayooh
Member
- Oct 19, 2016
- 15
- 65
Nilikua siamini katika hawa Manabii mpaka pale nilipokutana na nabii mmoja ambaye kila akitoa unabii wake ulikua unatimia ama kupishana kidogo tu na tukio halisi.
Miongoni mwa nabii zake zilizotimia ni,
-Kifo cha the late prime Minister Edward Ngoyai Lowassa
-Ivory Coast kutokea nyuma na kubeba kombe la AFCON 2024
-Kitambaa Cheupe kuungua moto
- Rais wa Kenya Ruto kupinduliwa naona tunaelekea huko...
Nilitokea kuvutiwa nae nikaanza kumfuatilia nikaja gundua pia hua anakipindi chake live siku ya Jumamosi kupitia YouTube, Insta na Facebook kinaitwa " Can I Prophecy "anatoa unabii kwa kila aliye online ana comment jina lake tu anapata unabii wake, nikajaribu na mimi ku Comment jina langu, Aisee alinipa unabii kana kwamba yupo rohoni mwangu maana alifunua kila kitu na mazambi yangu yote, nikatajiwa hadi maagano ya wazee wangu huko nyuma kwa majina yao, akazama hadi kwenye ndoto nazoota na mahusiano yangu pasipo kukosea, na akamalizia kwa kuniambia Mungu anataka nifanye nini ili Destiny yangu itimie.
Hakuniomba hata mia .
Anaitwa Prophet Edmund Mystic.