Una mtazamo gani kuhusu kumpa mwanamke pesa baada ya kulala naye?

Una mtazamo gani kuhusu kumpa mwanamke pesa baada ya kulala naye?

mimi nipo tofauti kidogo.

aniombe pesa au asiniombe,awe mwanamke wangu ambaye nipo nae kwenye relationship kwa mda mrefu, au mwanamke niliyemuokota kwenye kumbi za starehe na usiku huohuo kwenda kulalanae, mda wa kuagana au asubuhi lazima nimpe pesa kidogo.

halafu siku hizi hatutoi cash, unamuuliza tu,nikuhamishie kwa namba hihii uliyonipa au utanitajia namba nyingine.

i feel guilty kupeana raha za kingono na mwanamke halafu baada ya hapo nisimpe pesa. nipo hivyo tu na siwezi kubadilika unless yeye mwenyewe akatae. i'm gentleman and a gangstar aswell.
 
Jenga mazingira na siku nyingine asikufikirie kuwa wewe umemchukulia kama chombo cha starehe. Make her feel appreciated.
 
Ngono ili ifanyike lazima kuwe na transaction. Na transaction inaweza kuwa ni ndoa au malipo kabla na baada ya tendo lenyewe. Kwa hiyo suala zima la ngono ni biashara kama biashara nyingine
Aisee!
 
Demu wako kashakugeuza danga bila wewe mwenyewe kujua,jitafakari
 
Wanaume wa kweli tunatoa hela km kifuta jasho haiwezekan ukamla mtu ucku kucha asubuhi anavyoondoka usimpe chcht ktu huoo n unyanyashajii haki vilee [emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Habari wana JF

Ni matumaini yangu hamjambo wote mnaendelea vizuri. Kwangu mimi kuna suala lanitatiza kidogo hapa.

Et wanaume wezangu baada ya sex ni lazima kumpa mwanamke hela au demu wako unayempenda?

Kwangu naona kama nikimpa hela kwa muda huo naona kama anajiuza kwangu yaani kama nimelala na wafanyabiashara wa ngono.

Nimekuwa na desturi ya kutotoa hela baada ya sex lakini watu ninaokutana nao wanalalamika eti hata hujanipa hela.

Nisaidieni hapo
Kipoza mwili hicho lazima apate awe kahaba au hata demu wako
 
Jenga mazingira na siku nyingine asikufikirie kuwa wewe umemchukulia kama chombo cha starehe. Make her feel appreciated.
Actually huoni kwamba unachofanya ndio unamprove kuwa ni chombo cha starehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaume wa kweli tunatoa hela km kifuta jasho haiwezekan ukamla mtu ucku kucha asubuhi anavyoondoka usimpe chcht ktu huoo n unyanyashajii haki vilee [emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Mnazoeshana kipindi cha dating mpaka courtship, halafu unataka mambo yabadolike ndani ya ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Saa nyingine, wanaume tunawaza kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Mwisho wa siku mwenye kisu kirefu ndo anakula nyama

Mkono mfupi haulambwi.
 
Actually huoni kwamba unachofanya ndio unamprove kuwa ni chombo cha starehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inategemea, Kama nimempa mimi mwenyewe bila yeye kuomba. Ila akiomba yeye kwa kusisitiza huyo atakuwa anafanya biashara ya ukahaba.

Tizama huo wimbo kuna msg muhimu kwa vijana mnao date leo.
 
Back
Top Bottom