😂😂 Wabongo bwanaBaada ya yote mwanamke huwa anaomba nauli ya kurudi tofauti na hapo huyo ni kahaba asiye na uzoefu.
Aisee!Ngono ili ifanyike lazima kuwe na transaction. Na transaction inaweza kuwa ni ndoa au malipo kabla na baada ya tendo lenyewe. Kwa hiyo suala zima la ngono ni biashara kama biashara nyingine
Kipoza mwili hicho lazima apate awe kahaba au hata demu wakoHabari wana JF
Ni matumaini yangu hamjambo wote mnaendelea vizuri. Kwangu mimi kuna suala lanitatiza kidogo hapa.
Et wanaume wezangu baada ya sex ni lazima kumpa mwanamke hela au demu wako unayempenda?
Kwangu naona kama nikimpa hela kwa muda huo naona kama anajiuza kwangu yaani kama nimelala na wafanyabiashara wa ngono.
Nimekuwa na desturi ya kutotoa hela baada ya sex lakini watu ninaokutana nao wanalalamika eti hata hujanipa hela.
Nisaidieni hapo
Actually huoni kwamba unachofanya ndio unamprove kuwa ni chombo cha starehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jenga mazingira na siku nyingine asikufikirie kuwa wewe umemchukulia kama chombo cha starehe. Make her feel appreciated.
Mnazoeshana kipindi cha dating mpaka courtship, halafu unataka mambo yabadolike ndani ya ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Saa nyingine, wanaume tunawaza kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Wanaume wa kweli tunatoa hela km kifuta jasho haiwezekan ukamla mtu ucku kucha asubuhi anavyoondoka usimpe chcht ktu huoo n unyanyashajii haki vilee [emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Inategemea, Kama nimempa mimi mwenyewe bila yeye kuomba. Ila akiomba yeye kwa kusisitiza huyo atakuwa anafanya biashara ya ukahaba.Actually huoni kwamba unachofanya ndio unamprove kuwa ni chombo cha starehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]