UNA MUDA GANI HUJAOKOTA POCHI YA HELA

UNA MUDA GANI HUJAOKOTA POCHI YA HELA

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
1,821
Reaction score
6,119
Nimekaa hapa kibarazani na mbalamwezi hii nikasikia upande wa pili huko kuna watoto wanapigizana kelele

Yanguu,yanguu ....

Nikataka nijue nini hiyo basi nikasogea hadi walipo nikamkamata mmoja nikamuuliza yako nini

Akanionesha sh 50 imekwanguka balaa basi nikajikuta nacheka mwenyewe na kuwaamulia ugomvi ule kisha nikawapa mia mbili wagawane maana walikuwa wanne na watoto wa jirani yangu basi wakafurahi wakasahau ugomvi wao

Basi nikakaa nikawaza hivi mimi mara ya mwisho japo kuiona hela imedondoka ni mwaka gani nikajaribu kupiga hesabu zangu ila sikukumbuka kabisa

Je wew ni lini umeona au kuokota pesa kwa mara ya mwisho
 
Ila vyuma vimekaza mkuu, usiku wote huu unatuletea mambo ya kuokota pesa?
 
Nimekaa hapa kibarazani na mbalamwezi hii nikasikia upande wa pili huko kuna watoto wanapigizana kelele

Yanguu,yanguu ....

Nikataka nijue nini hiyo basi nikasogea hadi walipo nikamkamata mmoja nikamuuliza yako nini

Akanionesha sh 50 imekwanguka balaa basi nikajikuta nacheka mwenyewe na kuwaamulia ugomvi ule kisha nikawapa mia mbili wagawane maana walikuwa wanne na watoto wa jirani yangu basi wakafurahi wakasahau ugomvi wao

Basi nikakaa nikawaza hivi mimi mara ya mwisho japo kuiona hela imedondoka ni mwaka gani nikajaribu kupiga hesabu zangu ila sikukumbuka kabisa

Je wew ni lini umeona au kuokota pesa kwa mara ya mwisho
Mm daily naokota helaaaa!!!
 
Ila vyuma vimekaza mkuu, usiku wote huu unatuletea mambo kuokota pesa?
Hahaaa hapana mzee baba sema hawa 's. Watoto wamenifanya niwaze mbali kidogo hivi ile miak utunzaji ulikuwa mgumu au usawa wa leo ndo mgumu
 
unataka uokote ya nini?!!...fanya kazi kijana habari za kuwazia pochi za watu zidondoke utasubiri sn
 
Ezekiel 47;12 Na karibu na mto, juu ya ukingo wake, upande huu na upande huu, utamea kila mti wa chakula, ambao majani yake hayatanyauka, wala matunda yake hayatatindika kamwe; utatoa matunda mapya kila mwezi, kwa sababu maji yake yanatoka mahali patakatifu; na matunda yake yatakuwa ni chakula; na majani yake yatakuwa ni dawa.
 
Mimi niliokota pochi nikakuta ina condom tu,,hali imekua ngumu sana
 
Nimekaa hapa kibarazani na mbalamwezi hii nikasikia upande wa pili huko kuna watoto wanapigizana kelele

Yanguu,yanguu ....

Nikataka nijue nini hiyo basi nikasogea hadi walipo nikamkamata mmoja nikamuuliza yako nini

Akanionesha sh 50 imekwanguka balaa basi nikajikuta nacheka mwenyewe na kuwaamulia ugomvi ule kisha nikawapa mia mbili wagawane maana walikuwa wanne na watoto wa jirani yangu basi wakafurahi wakasahau ugomvi wao

Basi nikakaa nikawaza hivi mimi mara ya mwisho japo kuiona hela imedondoka ni mwaka gani nikajaribu kupiga hesabu zangu ila sikukumbuka kabisa

Je wew ni lini umeona au kuokota pesa kwa mara ya mwisho
Mkuu kwan we mara ya mwisho kudondosha ela ilikua lin tuanze na hapo [emoji12]
 
kwa hizi huduma za electronic sahau kabisa mkuu kuhusu suala LA kuota pesa...watu wanaweka mpaka buku kwenye acc zao "" so hizo hela utakuja kuokota wapi
 
Back
Top Bottom