hakika shangazi yangu bado namba yako tu nifunge kazi.Watu wataona unaongea utumbo ila ndio tulipofikia kwa sasa, ndugu zako ni wale uliozaliwa nao tumbo moja full stop
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye contact list mkuu kuna hiyo option ya kubuckup. Unaiview namba then option kisha buckup to Google account.
Wakuu habari,
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima.
Sasa leo nilikuwa nafutafuta baadhi ya namba za simu ambazo hatujawasiliana miaka nenda rudi, zipo tu kwenye simu kiushahidi. Nina namba za simu 365 hadi sasa (kabla sijaanza kufuta).
Wengi ni wafanyakazi wenzangu, classmates wa vyuo, sekondari na wengine mtaani nilipokulia.
Nyie wenzangu muna namba approximately ngapi?
Lengo nibakiwe na chini ya 100 tu ambao nakuwa nao karibu tunawasiliana, siyo hawa wengine kazi ku-view status zao tu.
Nimeanza kumiliki simu 2004, mara kadhaa nimeshafuta na hata sideal na customers in search.
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ninazo namba 755.Wakuu habari,
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima.
Sasa leo nilikuwa nafutafuta baadhi ya namba za simu ambazo hatujawasiliana miaka nenda rudi, zipo tu kwenye simu kiushahidi. Nina namba za simu 365 hadi sasa (kabla sijaanza kufuta).
Wengi ni wafanyakazi wenzangu, classmates wa vyuo, sekondari na wengine mtaani nilipokulia.
Nyie wenzangu muna namba approximately ngapi?
Lengo nibakiwe na chini ya 100 tu ambao nakuwa nao karibu tunawasiliana, siyo hawa wengine kazi ku-view status zao tu.
Mkuu ww ni kwikwi,mm nimeanza miliki cm 2001,na Nina namba elfu moja mia tatu na ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu.Nenda kwenye contact list mkuu kuna hiyo option ya kubuckup. Unaiview namba then option kisha buckup to Google account.
Me simu yangu wakati wa kusave huniuliza ningependa kusave wapi.
So, hata nikinunua simu mpya huwa nikiingiza tu taarifa zangu za google automatically contact zinajirestore.
Ukishaandika namba unayotaka kui save,utabonyeza create contact, then badala ya kwenda kwenye kuandika jina LA unae msave,angalia mahali pameandikwa save to...,bonyeza hapo kisha itakuletea option kama NNE,ambazo ni save to email,save to phone contact, sim 1 na pia sim 2(iwapo tu unatumia simu ya line 2),,ww utachagua save to email kisha OK,ukisha Fanya hivyo mara moja hulazimiki tena kufanya hivyo kwa namba zingine unazozi save baada ya hapo Bali zote unazosave zitakua zinaingia kwenye email yako nawe utaziona kwenye contact kama kawaida,na waeza hifadhi namba hata 10,000 na haipotei namba hata line ife au upoteze cm,cha muhimu ni kukunbuka email yako na password yako tu,kisha namba zako zote ulizosave kwa email unazipata hata kwa kupoteza cm kila cku,,,hope umenielewa,,,km hujaelewa ni PM Nikupe ujuzi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari,
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima.
Sasa leo nilikuwa nafutafuta baadhi ya namba za simu ambazo hatujawasiliana miaka nenda rudi, zipo tu kwenye simu kiushahidi. Nina namba za simu 365 hadi sasa (kabla sijaanza kufuta).
Wengi ni wafanyakazi wenzangu, classmates wa vyuo, sekondari na wengine mtaani nilipokulia.
Nyie wenzangu muna namba approximately ngapi?
Lengo nibakiwe na chini ya 100 tu ambao nakuwa nao karibu tunawasiliana, siyo hawa wengine kazi ku-view status zao tu.
Hili swala ni purely your personal choice yako!
Wewe kufuta halihusu wengine
Futa,wala hakuna wa kukuuliza chochote
People think namba mlizonazo kwenye simu zenu ni favor mnawapa hao watu,
Yall are naive sons of the bitches!
Keep or delete em nobody cares about you whatsoever!
Yangu umefuta