Ukishaandika namba unayotaka kui save,utabonyeza create contact, then badala ya kwenda kwenye kuandika jina LA unae msave,angalia mahali pameandikwa save to...,bonyeza hapo kisha itakuletea option kama NNE,ambazo ni save to email,save to phone contact, sim 1 na pia sim 2(iwapo tu unatumia simu ya line 2),,ww utachagua save to email kisha OK,ukisha Fanya hivyo mara moja hulazimiki tena kufanya hivyo kwa namba zingine unazozi save baada ya hapo Bali zote unazosave zitakua zinaingia kwenye email yako nawe utaziona kwenye contact kama kawaida,na waeza hifadhi namba hata 10,000 na haipotei namba hata line ife au upoteze cm,cha muhimu ni kukunbuka email yako na password yako tu,kisha namba zako zote ulizosave kwa email unazipata hata kwa kupoteza cm kila cku,,,hope umenielewa,,,km hujaelewa ni PM Nikupe ujuzi zaidi
Sent using
Jamii Forums mobile app