Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uliona ule uzi wa kinyoka kinachokaa kwa bag alafu unapata hela [emoji1787]Mimi ni mvivu, nataka nipate njia ya kupata pesa bila kufanya kazi wala kutembea.
Yani nilale pesa iingie, maisha yenyewe mafupi.
Mungu akufanikishe.Ni Mwaka wa 2 sasa ndoto yangu ni kukutana na Tajiri Rostam!!!Naamini kwa Project yangu ndie mtu sahihi wakuniingiza kwenye kundi la Mabilionea kwenye nchi hii.
Eeeee Mungu ifanikishe njozi hii Mwaka huu.
Haha hayo ndo mambo sasa. Unakaa pesa inaingiaMkuu uliona ule uzi wa kinyoka kinachokaa kwa bag alafu unapata hela [emoji1787]
Kwenye hiyo profile picture ndo weweHeri ya mwaka mpya wana JF wote. Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuuanza mwaka mpya 2023 sifa na utukufu tunamrudishia yeye.
Tukiwa tumeanza siku mpya ya mwaka siku ya kwanza, ni siku ya kupanga malengo yako na ndoto unazotamani au unazotarajia kuzifikia na kukamilisha kwa mwaka mzima. Pia ni siku ya kuangalia ambayo hukukamilisha kwa mwaka uliopita na kuyapa kipaumbele mwaka huu.
Ni siku ya kuevaluate wapi ulikosea na wapi ulianguka kwa mwaka 2022 ili uyasahihishe na kuepuka kurudia mwaka mpya yasizibe malengo yako.
Je umeshaandika malengo yako ya kuyafikia mwaka huu kwa miezi 6 na 12 ijayo??
Je ni ndoto gani unatamani itimie kwa mwaka huu?? Unatamani ufikie malengo yapi kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu??
Mimi binafsi namuomba sana mwenyezi Mungu mwaka huu
1. Nipate kazi nzuri itakayomudu maisha yangu. Nipate pia connection za kutosha.
2. Nitengeneze cycle mpya ya marafiki ambao tutasaidiana kimawazo na kimaisha katika shida na raha.
Na mengine mengi sana ambayo nimetulia nayaandika katika diary hapa.
Wewe je unatamani Mungu akutimizie nini kwa mwaka huu 2023?? Mungu wetu sio kiziwi wala kipofu anasikia na kuona.
Heri ya mwaka mpya ukawe mwaka wa furaha, amani na mafanikio tele.
View attachment 2465381
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa siri ya utajiri ni ubahili wengi watapinga ila ndio ukweli.Nifanye ubahili hadi nitajirike. Siri ya utajiri ni ubahi
Amen na Mungu amekusikia na atakutendea haja ya moyo wakoNi Mwaka wa 2 sasa ndoto yangu ni kukutana na Tajiri Rostam!!!Naamini kwa Project yangu ndie mtu sahihi wakuniingiza kwenye kundi la Mabilionea kwenye nchi hii.
Eeeee Mungu ifanikishe njozi hii Mwaka huu.
Amen Mungu akufanikishie ndoto yako mwaka huuMimi nataka nipate ndinga ya maana kabisa. Nihayo tu
Kabisaa hiyo njia inakufaa kabisaaHaha hayo ndo mambo sasa. Unakaa pesa inaingia
Sorry itakuwa nimekufananisha 🙏
Haujazaa bado?Mtoto.
NdiyoHaujazaa bado?
Sawa mkuu utapata usihofu huu mwaka hauishi kesho,Ndiyo
Amen 😊Sawa mkuu utapata usihofu huu mwaka hauishi kesho,