Una ndoto gani unayotamani kuitimiza mwaka 2023?

Una ndoto gani unayotamani kuitimiza mwaka 2023?

Ni Mwaka wa 2 sasa ndoto yangu ni kukutana na Tajiri Rostam!!!Naamini kwa Project yangu ndie mtu sahihi wakuniingiza kwenye kundi la Mabilionea kwenye nchi hii.
Eeeee Mungu ifanikishe njozi hii Mwaka huu.
Mungu akufanikishe.
 
Heri ya mwaka mpya wana JF wote. Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuuanza mwaka mpya 2023 sifa na utukufu tunamrudishia yeye.

Tukiwa tumeanza siku mpya ya mwaka siku ya kwanza, ni siku ya kupanga malengo yako na ndoto unazotamani au unazotarajia kuzifikia na kukamilisha kwa mwaka mzima. Pia ni siku ya kuangalia ambayo hukukamilisha kwa mwaka uliopita na kuyapa kipaumbele mwaka huu.
Ni siku ya kuevaluate wapi ulikosea na wapi ulianguka kwa mwaka 2022 ili uyasahihishe na kuepuka kurudia mwaka mpya yasizibe malengo yako.
Je umeshaandika malengo yako ya kuyafikia mwaka huu kwa miezi 6 na 12 ijayo??

Je ni ndoto gani unatamani itimie kwa mwaka huu?? Unatamani ufikie malengo yapi kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu??
Mimi binafsi namuomba sana mwenyezi Mungu mwaka huu

1. Nipate kazi nzuri itakayomudu maisha yangu. Nipate pia connection za kutosha.
2. Nitengeneze cycle mpya ya marafiki ambao tutasaidiana kimawazo na kimaisha katika shida na raha.
Na mengine mengi sana ambayo nimetulia nayaandika katika diary hapa.

Wewe je unatamani Mungu akutimizie nini kwa mwaka huu 2023?? Mungu wetu sio kiziwi wala kipofu anasikia na kuona.

Heri ya mwaka mpya ukawe mwaka wa furaha, amani na mafanikio tele.


View attachment 2465381

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hiyo profile picture ndo wewe
 
Ni Mwaka wa 2 sasa ndoto yangu ni kukutana na Tajiri Rostam!!!Naamini kwa Project yangu ndie mtu sahihi wakuniingiza kwenye kundi la Mabilionea kwenye nchi hii.
Eeeee Mungu ifanikishe njozi hii Mwaka huu.
Amen na Mungu amekusikia na atakutendea haja ya moyo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom