Una shida, utamchagua Mchungaji yupi akuombee kati ya hawa?

Una shida, utamchagua Mchungaji yupi akuombee kati ya hawa?

Mimi nataka kufanya maombi maalum ya kuombea nchi, na Mchungaji Christina Shusho.
 
Daah huenda kweli wamebadilika, tusihukumu tusije tukahukumiwa.

Ukweli wa mtu anaujua mwenyewe na Mola wake.

Kila la kheri ktk utumishi wao (kama wayatendayo ni sahihi), na Mungu awatangulie na kuwaimarisha ili kupitia wao wawavute wengine kwa BWANA.
Utapeli na ujasiriamali Tu hakuna zaidi
 
Back
Top Bottom