Daah huenda kweli wamebadilika, tusihukumu tusije tukahukumiwa.
Ukweli wa mtu anaujua mwenyewe na Mola wake.
Kila la kheri ktk utumishi wao (kama wayatendayo ni sahihi), na Mungu awatangulie na kuwaimarisha ili kupitia wao wawavute wengine kwa BWANA.