Huo ni uhuni wazee unawasingizia tu😏Kupenda tubinti tudogo tudogo
Kama za BillgateTabia za kizee ndio zipi kwanza?
Nkajua ni tabia ya uzeeHuo ni uhuni wazee unawasingizia tu😏
😁😂Napenda mabwanga
Nikiona ugoro mwili unasisimka sana .. vipi hii inaweza kuwa tabia ya kizee kweli..!Salaam Wadau?
Katika maisha yetu tunajikuta tunafanya matendo mbalimbali kila siku. Kuna namna fulani unaweza kujikuta wewe ni kijana lakini baadhi ya matendo yake ukijitafakari unaona kabisa hayaendani na umri wako.
Kwa upande wangu najikuta mtu mzima kwa kupenda nyimbo za Wazee wa zamani kama nilizaliwa nao. Nikisikiliza najiona nna busara nyingi sana.
Vipi wewe una tabia gani ambayo unahisi ni ya kizee?
Hamna wazee wanapenda majimamaNkajua ni tabia ya uzee
Kusikiliza nyimbo sio tabia ya kizee.... Nyimbo ni chakula Cha ubongo kinachochochea hisia, kumbukumbu, mapenzi, urafiki, majonzi na nyakati.Salaam Wadau?
Katika maisha yetu tunajikuta tunafanya matendo mbalimbali kila siku. Kuna namna fulani unaweza kujikuta wewe ni kijana lakini baadhi ya matendo yake ukijitafakari unaona kabisa hayaendani na umri wako...
Majimama/mishangazi hiyo ndo michezo ya vijanaHamna wazee wanapenda majimama