Una tabia gani za kizee?

Mavazi.

Mimi ni kati ya watu wanaovaa kizee, sivai kama kijana wa kisasa..

Nimejitahidi kweli kuvaa kama vijana ila ni wiki mbili tu narudi kulekule.
 
Kuna komenti ya mtu niliikuta you tube inasema "we don't Search old music per se, we search old memories carried by these music"
 
Kuna komenti ya mtu niliikuta you tube inasema "we don't Search old music per se, we search old memories carried by these music"
Sahii kabisa.... Mfano Mimi nikisikia wimbo wa Nameless -Sinzia, mpangilio wa biti na mistari Huwa nakumbuka mbali sana.
 
Hizi ni tabia za watu wote waliostaarabika Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…